https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
3 4 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
a. Kuharibu kazi ya shetani: Christus Victor , 1 Yoh. 3:8; Mwa. 3:15; Kol. 2:15; Rum. 16:20; Ebr. 2:14-15.
b. Kufanya upatanisho kwa ajili ya dhambi: Christus Victum , 1 Yoh. 2:1-2; Rum. 5:8-9; 1 Yoh. 4:9-10; 1 Yoh. 3:16.
c. Kufunua moyo wa Baba, Yoh. 3:16; Tito 2.11-15.
1
6. Christus Victor [Kristo Mshindi] : ufufuo wa Bwana mtukufu wa uzima, Mt. 28:1-15; Mk 16:1-11; Lk 24:1-12; Yoh. 20:1-18; rej. 1 Kor. 15.
F. Nyakati za Mwisho (Kushuka kwa Roho Mtakatifu na Enzi ya Roho Mtakatifu).
1. Arabuni ya Mungu: Roho kama Ahadi na Ishara ya uwepo wa Ufalme, Efe. 1:13-14; 4:30; Mdo 2:1-47; 2 Kor. 1:22; Rum. 8:14-16.
2. “Hili ni lile”: Petro, Pentekoste, na Uwepo wa Wakati Ujao.
a. Kanisa kama kionjo na wakala wa Ufalme wa Mungu, Flp. 2:14 16; 2 Kor. 5:20.
b. Utawala wa sasa wa Masihi Yesu, 1Kor. 15:24-28; Mdo 2:34; Efe. 1:20-23; Ebr. 1:13.
c. Kuingizwa kwa jamii ya ufalme wa Mungu “katikati ya nyakati;” Rum. 14:7.
Made with FlippingBook Annual report maker