https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

/ 3 5

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

3. Kanisa la Masihi Yesu: wasafiri katika Ufalme ulio Tayari na Bado.

a. Ukiri Mkuu: Yesu ni Bwana, Flp. 2:9-11.

b. Agizo Kuu: enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, Mt. 28:18-20; Mdo 1:8.

c. Amri Kuu: mpende Mungu na wapende watu, Mt. 22:37-39.

1

4. Kutangazwa kwa “Siri”: watu wa mataifa kama warithi-wenza wa ile ahadi, Rum. 16:25-27; Kol. 1:26-28; Efe. 3:3-11.

a. Yesu kama Adamu wa Mwisho, 1 Kor. 15:45-49.

b. Mungu akivuta kutoka ulimwenguni jamii mpya ya wanadamu, Efe. 2:12-22.

5. Katikati ya nyakati: ishara za Enzi ya Sabato na Yubile, Mdo 2:17-. taz. Yoeli 2; Amosi 9; Eze. 36:25-27; Zab. 110:1-.

G. Ukamilifu wa Wakati ( Parousia ya Kristo), 1 Thes. 4:13-17.

1. Kukamilika kwa utume wa ulimwengu: uinjilishaji wa ethnoi ya ulimwengu, Mt. 24:14; Mk. 16:15-16; Rum. 10:18; 15:18-21; Kol. 1:23.

2. Ukengeufu wa Kanisa, 1 Tim. 4:1-3; 2 Tim. 4:3; 2 Thes. 2:3-12.

Made with FlippingBook Annual report maker