https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

3 6 /

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

3. Dhiki Kuu, Mt. 24:21-; Luka 21:24.

4. Parousia : Ujio wa Pili wa Yesu, 1 Thes. 4:13-17; 1 Kor. 15:50-58; Lk 21:25-27; Dan. 7:13; Mt. 26:64; Mk 13:26; Mdo 1:9-11.

5. Utawala wa Yesu Kristo duniani, Ufu. 20:1-4.

6. Kiti Kikubwa cha Enzi Cheupe na Ziwa la Moto, Ufu. 20:11-15.

1

7. “Kwa maana Lazima Atawale”: kuwekwa kwa mwisho kwa maadui wote chini ya miguu ya Kristo, 1 Kor. 15:24-28.

H. Baada ya Wakati (Milele Ijayo)

1. Kuumbwa kwa mbingu mpya na nchi mpya, Ufu. 21:1; Isa. 65:17-19; 66:22; 2 Pet. 3:13.

2. Kushuka kwa Yerusalemu Mpya: kuja kwa makao ya Mungu duniani, Ufu. 21:2-4.

3. Nyakati za kuburudishwa: Kufunuliwa kwa Watoto wa Mungu katika Utukufu, Rum. 8:18-23.

4. Bwana Yesu Kristo kukabidhi Ufalme kwa Mungu Baba, 1 Kor. 15:24-28.

Made with FlippingBook Annual report maker