https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
/ 3 7
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
5. Enzi Ijayo: Mungu wa Utatu kutawala kama yote katika yote.
a. Zek. 14:9
b. Yer. 23:6
c. Mt. 1:23
1
d. Zab. 72:8-11
e. Mik. 4:1-3
f. Zek. 2:10
III. Dondoo za mwisho za utume kama Tamthilia ya Nyakati Zote
A. Kusudi kuu la Mungu ndilo msingi wa historia yote ya mwanadamu.
1. Anafanya kila limpendezalo, Zab. 135:6.
2. Mashauri na mipango ya Mungu husimama milele, kwa vizazi vyote.
a. Zab. 33:11
b. Zab. 115:3
Made with FlippingBook Annual report maker