https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

3 8 /

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

3. Mungu anatangaza mwisho wa vitu vyote tangu mwanzo, Isa. 46:10.

4. Hakuna chochote wala yeyote anayeweza kupinga mpango wa Mungu wa wokovu na ukombozi, Dan. 4:35.

B. Mungu ndiye mhusika mkuu katika kufunuliwa kwa tamthilia takatifu, Efe. 1:9-11.

1

C. Utume ni kurejesha kile kilichopotea mwanzoni mwa wakati.

1. Utawala wa enzi kuu wa Mungu, Marko 1:14-15.

2. Uasi wa Shetani, Mwa. 3:15 pamoja na Kol. 2:15; 1 Yoh. 3:8

3. Anguko la kuhuzunisha la wanadamu, Mwa. 3:1-8 rej. Rum. 5:5-8

D. Kufanya mataifa yote kuwa wanafunzi ni kutimiza jukumu letu katika muswada ( script ) wa Mwenyezi Mungu.

Hitimisho

» Utume ni tangazo la fursa ya wokovu na ukombozi wa Mungu kwa njia ya Yesu Kristo na kazi yake, katika uwezo wa Roho Mtakatifu kwa makundi yote ya watu. » Utume unatazamwa kama tamthilia na hadithi ya Mungu, hadithi ya utume wakati huo huo ni Mungu akitenda kazi kama Mungu Mwenyezi, akitenda kazi katika mambo yote kwa utukufu wake na manufaa yetu.

Made with FlippingBook Annual report maker