https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
4 4 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
a. Kati ya mataifa, Yos. 9:6; 9:15.
b. Kati ya miji, 1 Sam. 11:1.
c. Kati ya watu binafsi, Mwa. 21:27.
3. Maagano yaliyofanyika yalihusisha wajibu au masharti ya kutimiza na manufaa na faida kama matokeo ya kutimizwa kwa masharti .
1
4. Asili ya kufanya maagano:
a. Mungu aliitwa kuwa shahidi, Mwa. 31:52-53, ona pia 1 Sam. 20:8; Yer. 34:18-19; Eze. 17:19.
b. Uvunjaji wa mkataba ulionekana kama uovu mbaya sana wa kimaadili, au hata dhambi, Eze.17:12-20; rej. Eze. 17:16.
c. Maagano yalitolewa ushahidi kwa kutoa zawadi au kuweka mawe kama ukumbusho, pamoja na mlo au punje za chumvi (rej. Mwa. 26:30; 31; 54; 2 Sam. 3:12, 20). (1) Mwanzo 21:30-31 (2) Mwanzo 31:52
5. Katika Biblia ndoa ilikuwa agano la kawaida lililofanyika, Mit. 2:17.
6. Maagano yalithibitishwa kwa kiapo (Mwa. 26:28; 31:53; Yos. 9:15, n.k.) na kuchinja mnyama au ndege, kumkata katikati nusu kwa nusu, na wahusika wa agano kupita katikati ya vile vipande (Mwa. 15:9-10, 17-18; Yer. 34:18-20).
Made with FlippingBook Annual report maker