https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

/ 4 7

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

3. Mungu anatenda kwa kulishika agano lake na Ibrahimu, Isaka, na Yakobo.

a. Zab. 105:8-11

b. Mika 7:20

C. Kutambuliwa kwa Ahadi – kabila la Yuda: Mzao wa Ibrahimu atatoka katika kabila la Yuda, Mwa. 49:8-10.

1

1. Tukio la neno la unabii: Yakobo atamka baraka juu ya wanawe kabla ya kifo chake, Mwa. 49.

2. Kabila na ukoo wa Yuda unatambuliwa kama ambao Yule atakayetawala atatokea (yaani, “fimbo ya enzi haitaondoka katika Yuda”).

3. Mbaraka: Fimbo ya enzi (haki ya kutawala) itakuwa yake, na mataifa watamtii Yeye (wokovu wa ulimwengu wote).

D. Kufafanuliwa kwa Ahadi: Agano la Daudi 2 Sam. 7:8-16 – Basi, sasa, mwambie mtumishi wangu, Daudi, maneno haya, Bwana wa majeshi asema hivi, Nalikutwaa katika zizi la kondoo, katika kuwaandama kondoo, ili uwe mkuu juu ya watu wangu, juu ya Israeli; 9 nami nimekuwa pamoja nawe kila ulikokwenda, na kuwakatilia mbali adui zako wote mbele yako; nami nitakufanyia jina kuu, kama jina la wakuu walioko duniani. 10 Tena nitawaagizia mahali watu wangu Israeli, nami nitawapanda, wapate kukaa mahali pao wenyewe, wasiondolewe tena; wala wana wa uovu hawatawatesa tena, kama hapo kwanza; 11 naam, kama vilivyokuwa tangu siku ile nilipowaamuru waamuzi, wawe juu ya watu wangu Israeli; nami nitakustarehesha mbele ya adui zako

Made with FlippingBook Annual report maker