https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

4 8 /

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

wote. Tena Bwana anakuambia ya kwamba Bwana atakujengea nyumba. 12 Nawe siku zako zitakapotimia, ukalala na baba zako, nitainua mzao wako nyuma yako, atakayetoka viunoni mwako, nami nitaufanya imara ufalme wake. 13 Yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa jina langu, nacho kiti cha enzi cha ufalme wake nitakifanya imara milele. 14 Mimi nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu; akitenda maovu nitamwadhibu kwa fimbo ya binadamu na kwa mapigo ya wanadamu; 15 lakini fadhili zangu hazitamwondoka, kama vile nilivyomwondolea Sauli, niliyemwondoa mbele yako. 16 Na nyumba yako, na ufalme wako, vitathibitishwa milele mbele yako. Nacho kiti chako kitafanywa imara milele.

1

1. Kufafanuliwa huku kunabainisha kwa usahihi na uwazi kabisa ukoo ambao baraka ya Ibrahimu ingetokea.

2. Mzao wa kifalme wa baraka za Ibrahimu angekuja kupitia nyumba ya Daudi.

a. 2 Sam. 7:12

b. 2 Sam. 22:51

3. Kupitia Huyu aliyeahidiwa, Mungu angerudisha utawala wake juu ya nyumba ya Israeli na kuyabariki mataifa yote kupitia ufalme wake.

a. Isa. 9:6-7

b. Zab. 72:8-11

c. Zab. 89:35-37

Made with FlippingBook Annual report maker