https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
8 0 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
3. Kwa sababu ya ukosefu wa uaminifu wa watu wake, Mungu alilazimika kuwaadhibu (aliwapeleka watu wake uhamishoni kama adhabu).
a. Isa. 63:7-10
b. Omb. 1:1-8
4. Mungu aliwaona Waisraeli kama mke mwenye hila anayemwacha mume wake bila sababu.
2
a. Isa. 54:6
b. Yer. 3:20
5. Mungu aliwasihi watu wake wamrudie.
a. Yer. 3:1
b. Yer. 3:8
c. Yer. 3:14
6. Watu wa Mungu walipokataa kumrudia, aliwapeleka uhamishoni.
a. Ufalme wa Kaskazini, Israeli, ulipelekwa utumwani uhamishoni na Waashuru, mwaka wa 720 K.W.K.
(1) 2 Fal. 15:29 (2) Isa. 10:5-6
Made with FlippingBook Annual report maker