https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
/ 8 1
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
b. Ufalme wa Kusini, Yuda, ulipelekwa utumwani uhamishoni na Wababiloni mwaka wa 588 K.W.K.
(1) 2 Fal. 25:8-9 (2) 2 Nya. 36:18
c. Miaka sabini ya utumwa wa Yuda inaanzia kutoka kipindi ambacho hekalu liliharibiwa (2 Fal. 25:9) hadi urejesho kamili (Ezra 6:15).
D. Bibi-arusi anarudi nyumbani.
2
1. Koreshi atoa ruhusa kwa mabaki ya Wayahudi kurudi katika nchi yao.
a. Ezra 1:5
b. Ezra 7:13
2. Wengi waliokuwa wa ufalme wa Israeli walijiunga na mabaki haya chini ya Ezra, Zerubabeli, na Nehemia kwenda Yerusalemu (Yer. 50:4-4, 17-20, 33-35).
E. Ahadi ya agano jipya la upendo.
1. Hos. 2:19-20
2. Kwamba Mungu atatosheleza ghadhabu yake na kuwarudisha watu wake kwenye nafasi yao ya rehema na ukuu.
a. Isa. 40:1-2
Made with FlippingBook Annual report maker