https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

8 2 /

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

b. Eze. 39:29

c. Isa. 54:9-10

3. Mungu anaahidi kufanya agano jipya na watu wake, bila kutegemea utii na uaminifu wao kwa nadhiri zao, bali angeandika sheria yake mioyoni mwao, Yer. 31:31-34.

4. Kucheza na kushangilia kwa ajili ya watu wake kama bwana-arusi juu ya bibi-arusi, Mungu na watu wake (rej. Wimbo Ulio Bora), Isa. 62:5

2

II. Vidokezo vya Agano Jipya: Masihi Yesu kama Bwana-arusi wa Bwana

A. Agano la Ibrahimu na ushirikishwaji wa Mataifa.

1. Agano la Mungu na Ibrahimu linajumuisha baraka za jamaa zote za dunia, Mwa. 12:1-3.

2. Watu wa mataifa waangaziwa na nuru ya Mungu, Isa. 9:1-2.

B. Kuingia kwa Yesu: Salamu kwa Masihi wa Kiyahudi!

1. Wito wa wale Kumi na Wawili kama aina ya makabila mapya kumi na mawili, taz. Mk. 3:14.

2. Masihi Yesu, chanzo na uzima wa Kanisa, Mt. 16:13-19, taz. Mt. 16:17-18.

Made with FlippingBook Annual report maker