https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
8 4 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
3. Habari Njema ilitolewa kwa Wayahudi (na walidhani kwamba Masihi Yesu alikuja kwa ajili yao peke yao).
a. Rum. 9:4-5
b. Mdo 1:6
4. Mitume walichukulia ahadi ya kinabii ya Masihi kama ufunuo wa Kiyahudi kwa Wayahudi pekee yao.
2
a. Yer. 23:5-6
b. Yer. 33:15-16
c. Eze. 37:24
d. Yoeli 3:16
D. Kufunuliwa kwa “Siri”: Mataifa ni warithi pamoja na Wayahudi katika ahadi ya agano jipya la Mungu! (nukuu tatu katika Agano Jipya). Kwa njia ya ufunuo, Mungu sasa amejulisha kupitia manabii na mitume kwamba watu wa mataifa watajumuishwa katika huyu Bibi-arusi Mpya wa agano jipya kwa imani katika Yesu Kristo!
1. Nukuu ya Warumi: mataifa yote sasa yanaalikwa kuitikia Habari Njema ya wokovu iliyotolewa kwa Wayahudi , Rum. 16:25-27.
2. Nukuu ya Waefeso: Mataifa ni warithi wenza na viungo vya mwili mmoja , Efe. 3:4-10.
Made with FlippingBook Annual report maker