https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
/ 8 7
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
a. Tumefanyika mmoja katika Kristo, 1 Kor. 6:15-17.
b. Tulibatizwa ndani yake, 1 Kor. 12:13.
c. Tulikufa pamoja naye, Rum. 6:3-4.
d. Tulizikwa pamoja naye, Rum. 6:3-4.
e. Tulifufuliwa pamoja naye, Efe. 2:4-7.
2
f. Tumepaa pamoja naye, Efe. 2:6.
g. Tunaketi pamoja naye katika ulimwengu wa roho, Efe. 2:6.
h. Tunateseka pamoja naye, Rum. 8:17-18.
i. Tutatukuzwa pamoja naye, Rum. 8:17.
j. Tutafufuliwa katika yeye, 1 Kor. 15:48-49.
k. Tutabadilishwa tufanane naye (1 Yohana 3:2).
l. Sisi ni warithi pamoja naye, Rum. 8:17.
m. Tutakuwa pamoja naye milele, 1 Thes. 4:17.
n. Tutatawala pamoja naye milele, Ufu. 3.
Made with FlippingBook Annual report maker