Kristo: Mada Kuu Ya Biblia
Kristo Katika Injili Nne
Kitabu Mada
Mathayo Mfalme (Zek. 9:9) Wayahudi
Marko
Luka
Yohana
Mtumishi (Isa. 52:13)
Mtu (Zek. 6:12)
Mungu (Isa. 40:10)
Hadhira
Warumi Hakuna
Wayunani Ulimwengu Adamu Mungu
Ukoo Wa Abrahamu na Daudi
Ametokana na
Nasaba ya kifalme
(Hakuna)
Wanadamu (Adamu)
Umilele
Ishara
Simba (Ezek. 1:10)
Ng’ombe
Mtu
Tai
Mkazo Alichofundisha Alichofanya Alichotafuta Alichofikiri Alichotoa Haki (3:15) Huduma (10:45) Ukombozi (19:10) Uzima (10:10)
Neno Kuu Anatajwa kama
Enzi
Huduma Ubinadamu Uungu
Mwokozi Aliyeahidiwa
Mwokozi Mwenye Nguvu
Mwokozi Mkamilifu
Mwokozi Binafsi
Mathayo: Kristo Anadhihirishwa kama Mfalme Ukoo wake unafuatiliwa hadi kwa mtawala mmoja (Mwana wa Daudi) na dhabihu moja (Mwana wa Ibrahimu) (Mt. 1:1). Kristo anawakilishwa na ishara ya simba (Eze. 1:10), mfalme wa wanyama. Kwa maneno ya Zekaria, Wayahudi wanaambiwa, “Tazama, mfalme wako anakuja kwako” (9:9). Marko: Kristo Anadhihirishwa Katika Huduma Yake Yeye ni Mtumishi wa Yehova (Isa. 53:11), aliyefananishwa na ng’ombe dume, na kutambulishwa kwa Warumi. Ukoo wake haufuatiliwi (mja hahitaji ukoo), lakini utendaji wake ndio unaotawala. Mathayo alisisitiza kile Yesu alichofundisha, lakini Marko alisisitiza kile Yesu alichofanya (Marko 10:45), kama Isaya alivyosema, “Tazama, mtumishi wangu” (Isa. 52:13).
115
Made with FlippingBook Digital Publishing Software