Kristo: Mada Kuu Ya Biblia
Zab. 119:138
Uaminifu
Ufu 19:11 Yh 14:6 Ebr. 4:15 Ebr. 1:8 Ebr. 13:8 1 Kor. 1:24 1 Pet. 2:7 Ufu. 19:15 Ebr. 7:25 1 Kor. 1:2 Tito 2:14 1 Yh 1:7 Mt. 4:24 Yh 6:58 Gal. 5:1 Yh 5:21 1 Pet. 1:3 Yh 8:12 Yh 6:51 Isa. 9:6
Yh 17:17 Yh 10:35 Mt. 5:18
Kweli
Bila Kosa (Dhambi) Lisiloweza kuharibika
1 Pet. 1:24-25
Halibadiliki
Rum. 1:16*
Nguvu za Mungu
2 Pet. 1:4 Ebr. 4:12
La thamani
Upanga Mkali
Zab. 119:105
Nuru Mkate
Lk 4:4 (nukuu ya Kum. 8:3)
Zab. 119:129 1 Kor. 15:2 1 Tim. 4:5 1 Petro 1:22 Zab. 119:9 Zab. 107:20
La ajabu
Linahifadhi Linatakasa Linasafisha Linasafisha Linaponya
1 Pet. 2:2
Linalisha
Yh 8:32
Linakomboa
Zab. 119:50 1 Pet. 1:23
Linafanya kuwa Hai
Linazaa Wana Linaishi Milele
Mt. 5:18 Ufu. 1:18 * Baadhi ya mistari hii inarejelea neno lililonenwa la Mungu ambalo baadaye lilikuja kuwa Neno la Mungu lililoandikwa. MFANANO KATI YA NENO HAI NA NENO LILILOANDIKWA Kuna baadhi ya sifa zenye uwiano wa kushangaza kati ya Neno la Mungu lililo hai na lililoandikwa: kati ya Mwokozi na Maandiko. Ulinganisho kwenye jedwali inayofuata utaonyesha baadhi ya uwiano huo.
128
Made with FlippingBook Digital Publishing Software