Kristo: Mada Kuu Ya Biblia

10. Baraka za hakika za Daudi (Mdo. 13:34, kutoka Isa. 55:3) 11. Nuru kwa Mataifa (Mdo 13:47, kutoka Isa. 49:6) 12. Hema ya Daudi (Mdo 15:16, kutoka Amo 9:11) 13. Wokovu wa Mataifa (Mdo 15:17-18, kutoka Amo 9:12) 14. Upofu wa Kimasihi wa Wayahudi (Mdo 28:26-27, kutoka Isa. 6:9-10). Utabiri mwingine wa Kimasihi unaweza kuongezwa kutoka katika nyaraka za Warumi na Wagalatia ambazo zinazungumza juu ya: 1. Kushuka na kufufuka kwa Kristo (Rum. 10:6-7, kutoka Kum. 30:12, 14) 2. Waamini wasiotahayarika (Rum. 10:11, kutoka Isa. 28:16) 3. Baraka za wahubiri wa injili (Rum. 10:15, kutoka Isa. 52:7) 4. Kutangazwa kwa injili duniani kote (Rum. 10:18, taz. Zab. 19:4) 5. Kuwatia Wayahudi wivu (Rum. 10:19, taz. Kum. 32:21) 6. Israeli wasiotii (Rum. 10:20-21 , kutoka Isa. 65:1-2) 7. Upofu wa Israeli (Rum. 11:8-10, kutoka Zab. 69:22-23) 8. Mkombozi kutoka Sayuni (Rum. 11:28, kutoka Isa. 59:20-21) 9. Agano la msamaha (Rum. 11:27, kutoka Isa. 27:9) 10. Kumkiri Bwana (Rum. 14:11, kutoka Isa. 45:23) 11. Wokovu wa Mataifa (Rum. 15:9-12, 21 kutoka Zab. 18:49; Kum. 32:43; Zab. 117:1; Isa. 11:10; 52:15).

39

Made with FlippingBook Digital Publishing Software