Kristo: Mada Kuu Ya Biblia
Mfumo Alichokifanya Haruni: • Aliingia katika Hema ya Kidunia • Iliingia Mara Moja kwa Mwaka • Iliingia Kuvuka Pazia • Alitoa Dhabihu Nyingi • Alitoa Dhabihu kwa ajili ya Dhambi Yake Mwenyewe • Alitoa Damu ya Fahali
Ukamilifu Wake
Alichokifanya Kristo: • Aliingia katika Hekalu la Mbinguni (6:19) • Aliingia Mara Moja Tu! (9:25-26) • Alirarua Pazia (10:20) • Alitoa Dhabihu Moja (10:11-12) • Alitoa kwa ajili ya Dhambi Zetu Pekee (7:27) • Alitoa Damu Yake Mwenyewe (9:12)
Kristo Anaanzisha Mfumo Mpya wa Ukuhani Ukuhani wa Walawi haukuwa mkamilifu; kwa hivyo, uliutazamia mfumo wa ukuhani ambao ungekuwa mkamilifu. Kuna angalau namna saba ambazo ukuhani wa Kristo ni bora kuliko ule wa Walawi. Kwa maana ingawa ni Kuhani kwa mfano wa Haruni (ona jedwali hapa chini), Kristo ni Kuhani katika mfumo na daraja la ukuhani wa Melkizedeki, mfumo ambao ni bora zaidi kuliko wa Haruni. Utaratibu huu mpya umechukua nafasi ya ukuhani wa Walawi kwa njia zifuatazo: Asili ya: Ukuhani wa Haruni: Ukuhani wa Melkizedeki: Kiapo Cha muda Cha milele (7:21-23) Kuhani Dhaifu Asiye na dhambi (7:26) Ukuhani Unaondoka Usioondoka (7:24) Huduma Ya kujirudia Mara moja Tu! (9:12, 26) Upatanishi Usiokamilika Mkamilifu (2:14-18) Dhabihu Isiyotosheleza (kuondoa dhambi) Ilitosha Kabisa (10:11-12) Uombezi Usiodumu Siku zote (7:25)
43
Made with FlippingBook Digital Publishing Software