Kristo: Mada Kuu Ya Biblia
Birika
Nisipokuosha (Yh 13:8, 10) Mimi ndimi Nuru (Yh 8:12) Mimi ndimi Mkate (Yh 6:48) Ninawaombea (Yh 17:9)
Taa
Mkate
Uvumba
Pazia
Huu Ndio Mwili Wangu (Mt 26:26)
Kiti cha Rehema
Nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo (Yh 10:15)
Katika Agano la Kale, hemani palikuwa mahali palipotoa (1) utambulisho wa uwepo wa Mungu, ambao katika Agano Jipya unakuwa (2) umwilisho wa nafsi ya Mungu (Yh 1:14), na kivuli pamoja na utimilifu wake vyote viwili vinatoa (Yh. 3) kielelezo cha mpango wa Mungu wa wokovu, ambao unahusisha: • Njia moja—kupitia lango • kwa dhabihu mbadala—kwenye madhabahu ya shaba • kisha, utakaso—katika birika
• kwa kuangaziwa—na taa • na riziki—kwa ule mkate • yote kwa uwakilishi—wa kuhani • kwa maombezi—kwenye madhabahu ya uvumba • Ikihusisha kafara kwa damu—kwenye kiti cha rehema.
Aina mbalimbali za sadaka vile vile ni vivuli vya utoshelevu wote wa dhabihu ya Kristo. Kulikuwa na sadaka za aina tano muhimu katika mfumo wa Walawi: (1) kuteketezwa; (2) chakula (nafaka); (3) amani; (4) dhambi; (5) kosa (hatia). Tatu za kwanza (zinazojulikana kama sadaka za harufu nzuri) zilikuwa sadaka za kuwekwa wakfu na mbili za mwisho (zilizojulikana kama sadaka zisizo za harufu nzuri) zilikuwa sadaka za fidia . Kwa maneno mengine, tatu za kwanza zilikuwa ni sadaka za kibali (kwa Mungu) na mbili za mwisho, sadaka za upatanisho (kwa ajili ya
45
Made with FlippingBook Digital Publishing Software