Kristo: Mada Kuu Ya Biblia
mwanadamu). Sasa maisha na mateso ya Kristo yalikubalika kwa Mungu (kutimiza sadaka za kuteketezwa, za unga na za amani), na kifo chake msalabani kilifanya upatanisho na utoaji kwa ajili ya dhambi (kutimiza dhabihu za dhambi na hatia). (Ona Mt. 3:17; Isa. 53:10-11.) Kristo Anatimiza Sadaka za Walawi Sadaka: Utimilifu katika Kristo: Sadaka ya Kuteketezwa Ukamilifu wa Maisha (Ebr. 9:14) Sadaka ya Chakula Kuutoa Uhai ( Ebr. 5:7; Yoh. 4:34 ) au Wakfu Sadaka ya Amani Amani kwa Maisha Yetu (Ebr. 4:1-; Efe. 2:14) Sadaka ya Dhambi Fidia kwa Makosa (Ebr. 10:12; 1 Yoh. 2:2) Sadaka ya Hatia Nafasi kwa Mkosaji (Ebr. 10:20-; 1 Yoh. 1:7) Utimilifu wa Mfumo wa Sikukuu Sio tu kwamba Kristo anatimiza taratibu za Walawi za Agano la Kale lakini pia taratibu za sikukuu na sherehe. Sikukuu na sherehe zilikuwa za kitaifa katika nia na za kinabii katika mantiki zake. Kuna sikukuu saba muhimu za kila mwaka zilizotajwa katika Mambo ya Walawi 23. Kristo Anatimiza Sikukuu za Walawi Sikukuu (Law. 23): Utimilifu: Pasaka (Aprili) Kifo cha Kristo (1 Kor. 5:7)
Mkate Usiotiwa Chachu (Aprili)
Maisha matakatifu kwa ajili ya Kristo (1 Kor. 5:8)
Malimbuko (Aprili) Pentekoste (Juni) Baragumu (Sept.) Upatanisho (Sept.)
Ufufuo wa Kristo (1 Kor. 15:23)
Umwagiko wa Roho wa Kristo (Mdo 1:5; 2:4) Kristo Kukusanya Upya Israel (Matt. 24:31)
Kutakaswa na Kristo (Rum. 11:26)
Vibanda (Sept.)
Pumziko na Kuungana na Kristo (Zek. 14:16-18)
46
Made with FlippingBook Digital Publishing Software