Kristo: Mada Kuu Ya Biblia

asili ya uungu, yaani, kwamba Yeye ni “ MIMI NIKO ” mkuu wa Kutoka 3:14. Hayo yanaweza pia kusemwa kuhusu madai mengine ya Yesu. Linganisha, kwa mfano, Yohana 12:41 ambapo Yohana, baada ya kunukuu Isaya 6 kuhusu utukufu wa Mungu, alisema hivi: “Maneno hayo aliyasema Isaya, kwa kuwa aliuona utukufu wake, akataja habari zake.” Jedwali inayofuata inaonyesha kwa wingi kwamba Yesu wa Agano Jipya ni Yehova (Yahweh) wa Agano la Kale. YESU NI YEHOVA (YAHWEH) Kuhusu Yehova Cheo au Tendo la Pamoja Kuhusu Yesu Isa. 40:28 Muumbaji Yh 1:3 Isa. 45:22; 43:11 Mwokozi Yh 4:42 1 Sam. 2:6 Kufufua wafu Yh 5:21 Yoeli 3:12 Hukumu Yh 5:27 rej. Mt. 25:3-.

Isa. 60:19-20 Kutoka 3:14 Zaburi 23:1

Nuru

Yh 8:12

Mimi Niko Mchungaji

Yh 8:58, rej. 18:5-6

Yh 10:11 Yh 17:1, 5

Isa. 42:8, rej. 48:11 Utukufu wa Mungu

Isa. 41:4; 44:6 Hosea 13:14

Wa kwanza na wa Mwisho Uf. 1:17; 2:8

Mkombozi

Uf. 5:9

Isa. 62:5 (na Hosea 2:16)

Bwana Harusi

Uf. 21:2, rej. Mt. 25:1-.

Katika vifungu hivi vyote Yesu aidha anadai (au anatajwa) kuwa hasa kile ambacho ni sifa ya Yehova pekee katika Agano la Kale. Chukua kwa mfano, Isaya 45:22: “Niangalieni mimi, mkaokolewe, enyi ncha zote za dunia; maana mimi ni Mungu; hapana mwingine,” na bado Yesu ndiye anayeokoa na kusamehe dhambi, kama alivyosema: “….kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu” (Yh 8:24). Isaya 42:8 ina nguvu zaidi: “Mimi ni Bwana; ndilo jina langu; na utukufu

55

Made with FlippingBook Digital Publishing Software