Kristo: Mada Kuu Ya Biblia
unaaminika kuwa umekusudiwa kimungu lakini kwa sababu unakubaliwa na watu wengi. Kwa hivyo, kama ilivyo kwa ujumla katika mtazamo wowote, baadhi ya maelezo yanaweza yasitoshee kikamilifu.
MGAWANYO WENYE SEHEMU NNE LINGANIFU KATI YA A.K NA A.J
Mgawanyo katika Sehemu Sita Mgawanyo katika Sehemu Nane Torati—Msingi kwa ajili ya Kristo Torati—Msingi kwa Ajili ya Kristo Unabii—Matarajio ya Ujio wa Kristo Historia—Maandalizi kwa Ajili ya Kristo Maandiko—Matamanio ya Ujio wa Kristo Washairi—Matamanio ya Ujio wa Krsito Unabii—Matarajio ya Ujio wa Kristo Injili—Kudhihirishwa kwa Kristo Injili—Kudhihirishwa kwa Kristo Matendo—Uenezi wa Ujumbe wa Kristo Matendo—Uenezi wa Ujumbe wa Kristo Nyaraka—Ufafanuzi juu ya Kristo Nyaraka—Ufafanuzi juu ya Kristo Ufunuo—Mwisho wa Mambo Yote katika Kristo Muundo huu wa Maandiko wenye sehemu nane unaonyesha ulinganifu fulani wa kuvutia kati ya maagano haya mawili. Mara baada ya vitabu vya Historia vya Agano la Kale kuwekwa katika fungu linalojitegemea, unatokea mtazamo wenye mielekeo minne. Bila shaka, mielekeo hii si ya kutazamwa kama iliyo kamilika zaidi ya mielekeo yote ya kiroho ndani ya sehemu zake, bali inaashiria tu mwelekeo wa jumla wa sehemu husika kwa ujumla. Katika Torati kuna mtazamo wa kushuka chini kwa namna msingi unavyowekwa kwa ajili ya Kristo; katika Historia kuna mtazamo wa kuelekea nje wakati taifa la Kiyahudi linapoanza kufanya maandalizi
94
Made with FlippingBook Digital Publishing Software