Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook

2 0 4 /

M U N G U B A B A

Kushika Imani, Sio Dini (muendelezo)

kuchaguliwa kwa kufaa kwake ili kuwasilisha maana sahihi za kibiblia katika muktadha wa wapokeaji. Ninaamini Ukristo umekusudiwa kuwa “imani,” sio mkusanyiko wa miundo ya kitamaduni, na kwa hiyo unatofautiana na dini hizo. Dini, kwa sababu ni mambo ya kitamaduni, zinaweza kurithishwa kwa tamaduni mpya. Urithishaji huo ni jambo la nje linalosababisha mabadiliko madogo au makubwa katika mifumo ya dini. Ukristo, hata hivyo, unaweza kuwekwa katika muktadha, mchakato ambao maana zifaazo zinaweza kubebwa katika muundo na mfumo tofauti kabisa ndani ya tamaduni mbalimbali. Kwa bahati mbaya, kwa sababu ya kuingiliwa na ukristo wa kitamaduni, hatujaona aina zote za utofauti zinazowezekana…

Made with FlippingBook - Online catalogs