Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
/ 2 1 9
M U N G U B A B A
Kutoa Utukufu kwa Mungu (muendelezo)
III. Waliokombolewa na Bwana Walichaguliwa na Mungu Ili Kuleta Utukufu Kwake, 1 Pet. 4:11, 14. Ingawa Mungu anakusudia vitu vyote vimsifu, yeye hasa amewaleta watu wake kwake iliwapate kumsifu kwa hali ya juu zaidi. Mungu alikuokoa, akakusafisha, akaondoa kutoka katika maisha ya dhambi na fedheha ili sasa uwe nuru, nyara, kielelezo angavu cha neema na uwezo wake. Alikuokoa ili ulitukuze jina lake. A. Maandiko
1. Isa. 43:7, 21 2. 1 Pet. 2:9-10 3. 1 Kor. 10:31 4. Efe. 1:5, 6, 12 5. Kol. 3:16-17 6. Yoh. 15:8 7. Efe. 5:19-20
B. Vielelezo 1. Utukufu wa kitu ni nini? Kufanya vizuri kile kilichoumbiwa! a. Msumeno wa mnyororo. b. Kisu cha daktari wa upasuaji. c. Gitaa. d. Tu watu wa malisho yake, kondoo za mkono wake, Zab. 95:6-7. 2. Katika kuiacha nuru yetu iangaze Mt. 5:14-16. 3. Tunamtukuza Mungu kwa kadri ya kiwango cha kutambua kwetu mambo mema ambayo ametutendea. a. Isa. 63:7 b. Zab. 9:13-14
Made with FlippingBook - Online catalogs