Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook

/ 2 2 5

M U N G U B A B A

Kutoa Utukufu kwa Mungu (muendelezo)

3. Haijalishi unasema nini, kamwe huwezi kwenda zaidi ya aina ya mwenendo na maisha unayoishi. E. Tunapaswa kumtukuza Mungu katika mahusiano yetu yote, 1 Pet. 2:11-12.

1. Katika ndoa zetu. 2. Katika malezi yetu. 3. Katika familia zetu pana. 4. Pamoja na dada na kaka zetu katika Mwili wa Kristo. 5. Katika urafiki wetu. 6. Katika mahusiano yetu ya kazi. 7. Katika mahusiano ma majirani zetu.

2 Thes. 1:11-12 – Kwa hiyo twawaombea ninyi sikuzote, ili Mungu wetu awahesabu kuwa mmekustahili kuitwa kwenu, akatimiza kila haja ya wema na kila kazi ya imani kwa nguvu; 12 jina la Bwana wetu Yesu litukuzwe ndani yenu, nanyi ndani yake, kwa neema ya Mungu wetu na ya Bwana Yesu Kristo.

Made with FlippingBook - Online catalogs