Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook

2 4 2 /

M U N G U B A B A

Utatu wa Mungu katika Umoja: Utatu (muendelezo)

I. Msingi wa Kibiblia wa Utatu (Erickson, uk. 97)

Marejeo yote ya Erickson katika

A. Mungu ni MMOJA. 1. Umoja wa Mungu unashuhudiwa katika Decalogue (yaani, Amri kumi), Kut. 20:2-4. a. Amri ya kwanza, Kut. 20:2-3. b. Amri ya pili, Kut. 20:4. 2. Umoja wa Mungu unashuhudiwa katika Shema ya Kumbukumbu la Torati 6, (Amri kuu ya Yesu), Deut. 6:4. 3. Ushahidi wa Agano la Kale

muhtasari huu yanarejea kwa: Millard J. Erickson, Introducing Christian Doctrine . Grand Rapids: Baker Books, 1992.

a. Neh. 9:6 b. Isa. 42:8 c. Isa. 43:10 d. Isa. 44:6, 8 e. Isa. 45:6, 21-22

f. Isa. 46:9 g. Zek. 14:9 4. Ushahidi wa Agano Jipya a. Yak. 2:19 b. Mk 12:29-32

c. Yoh. 5:44 d. Yoh. 17:3 e. 1 Kor. 8:4,6 f. Efe. 4:5-6 g. 1 Tim. 2:5

Made with FlippingBook - Online catalogs