Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
2 4 4 /
M U N G U B A B A
Utatu wa Mungu katika Umoja: Utatu (muendelezo)
5. Kanuni ya mara tatu ya mtume Yohana: a. Yohana 1:33-34 b. Yohana 14:16,26 c. Yoh. 16:13-15 d. Yoh. 20:21-22 6. Kauli ya Yesu ya kuwa umoja na Baba
a. Yoh. 1:1-18 b. Yoh. 10:30 c. Yoh. 14:9 d. Yoh. 17:21
II. Miundo ya Kihistoria na Hoja za Utatu (Erickson, uk. 101)
A. Nadharia ya oikonomia ya Utatu (Hippolytus na Tertullian) 1. Hakuna jaribio la kuchunguza mahusiano ya milele miongoni mwa washiriki watatu wa Utatu. 2. Imejikita kwenye uumbaji na ukombozi: Mwana na Roho sio Baba, lakini hawawezi kutenganishwa naye katika umilele wake. 3. Mfano: Utendaji kazi wa akili ya mwanadamu. B. Mungu Mmoja Mwenye Nafsi Moja ( Dynamic Monarchianism ) (Mwishoni mwa karne za 2 na 3) Monarchianism = “utawala pekee” (inasisitiza upekee na umoja wa Mungu); maoni yote mawili ya monarchianism yanakusudia kuhifadhi wazo la Mungu kuwa mmoja na umoja wake. 1. Mwanzilishi: Theodotus 2. Mungu alikuwepo katika maisha ya mtu huyo, Yesu wa Nazareti 3. Nguvu itendayo kazi juu, katika, au kupitia Yesu, lakini si uwepo kamili wa Mungu ndani ya Yesu
Made with FlippingBook - Online catalogs