Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
/ 2 4 7
M U N G U B A B A
Utatu wa Mungu katika Umoja: Utatu (muendelezo)
B. Utafutaji wa mifano ya Utatu 1. Mifano kutoka katika uumbaji wa asili. a. Yai: kiini, sehemu nyeupe, na gamba. b. Maji: barafu, kimiminika, na mvuke.
c. Mifano hii inafikirisha ila haina uwezo wa kushawishi. 2. Mifano kutoka kwenye haiba ya mwanadamu: Augustine na De trinitate a. Mfano wa kujitambua kwa mtu binafsi: fikra za kujielewa. b. Mfano wa mahusiano ya binadamu: mapacha. C. Matokeo ya Utatu
1. Kumjua Mungu: Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. 2. Kumwabudu Mungu: Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. 3. Kumwomba Mungu: Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. 4. Kumtii Mungu: Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. 5. Kumfuata Mungu: Kuishi kwa upendo, kujali na ushirika.
Made with FlippingBook - Online catalogs