Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook

/ 2 4 9

M U N G U B A B A

Ukuu wa Mungu na Ufunuo kwa Ulimwengu (muendelezo)

I. Ukuu na Ufunuo wa Mungu

Marejeleo yote ya Erickson katika muhtasari huu

A. Ufafanuzi wa ufunuo (Erickson, uk. 33) 1. Mungu hawezi kujulikana pasipo kujifunua mwenyewe kwetu, Yoh. 6:44.

yanarejelea kwa: Millard J. Erickson, Introducing Christian Doctrine . Grand Rapids: Baker Books, 1992.

a. Sisi tuna ukomo, wakati Mungu hana ukomo. b. Sisi ni wenye dhambi, lakini Mungu ni mtakatifu. c. Sisi ni wanadamu, lakini Mungu ni wa Kiungu.

2. Ufunuo wa jumla. 3. Ufunuo maalum. B. Ni “namna” zipi (yaani, njia ambazo) Mungu hujijulisha kwa wanadamu kupitia ufunuo wa jumla? (Erickson, uk. 34) 1. Mpangilio wa uumbaji wa kimwili (cf. Erickson, uk. 38-39) a. Zab. 19 b. Rum. 1-2

c. Mdo 14:15-17 d. Mdo 17:22-31

2. Historia

a. Mdo 2:22-24 b. Uhifadhi wa kihistoria wa Israeli. 3. Binadamu (uwezo na sifa) Imago Dei. a. Utu: haiba

b. Uelewa: mantiki c. Maadili: dhamiri d. Ukiroho: asili za kidini

Made with FlippingBook - Online catalogs