Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
2 5 0 /
M U N G U B A B A
Ukuu wa Mungu na Ufunuo kwa Ulimwengu (muendelezo)
C. Maswali kuhusu ufunuo wa jumla 1. Je, unapatikana kwa kila mtu? 2. Je, sote tunaweza kuelewa maana yake? 3. Je, maudhui yake hutufunulia makusudi ya Mungu kweli? 4. Je, tunaweza kuuitikia kwa imani iokoayo?
II. Uhalisia na Ufanisi wa Ufunuo wa Jumla: Je, ni Halali na Wenye Ufanisi? A. “Theolojia ya Asili” 1. Wazo la msingi #1: Mungu amejitambulisha katika uumbaji wa asili. a. Linaweza kuthibitishwa. b. Kimsingi ni wazo kamilifu. 2. Wazo la msingi #2: Athari za anguko au mipaka ya asili ya kibinadamu huwazuia watu kuuona ufunuo huu. 3. Wazo la msingi #3: Mpangilio wa akili ya mwanadamu unafanana na mpangilio wa ulimwengu. a. Ulinganifu wa akili na ulimwengu. b. Utoshelevu wa kanuni za mantiki. c. Utoshelevu wa msingi wa ufahamu pekee. B. Thomas Aquinas: Mwanatheolojia wa Theolojia ya Asili katika ubora wake (Erickson, uk. 35)
1. Hoja ya kikosmolojia (Erickson, uk. 35) 2. Hoja ya kiteleolojia (Erickson, uk. 35) 3. Hoja ya kianthropolojia (Immanuel Kant) (Erickson, uk. 36) 4. Hoja ya kiontolojia (Anselm) (Erickson, uk. 36)
Made with FlippingBook - Online catalogs