Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook

2 5 2 /

M U N G U B A B A

Ukuu wa Mungu na Ufunuo kwa Ulimwengu (muendelezo)

2. Hoja zinazokubaliana nayo a. Kujiweka katika rehema za Mungu. b. Mfano wa waumini wa Agano la Kale. c. Je, ni lazima uwe na ufahamu wa fursa ambayo imewekwa kwa ajili ya wokovu wako ili uweze kuokoka? d. Msingi mmoja wa wokovu kwa Agano la Kale na Agano Jipya: Ukombozi wa Kristo dhidi ya Sheria (Wagalatia 3-4) A. Kwa sababu ya ufunuo wa jumla wa Mungu, wanadamu wote wanayo fursa sawa ya kuufikia ufunuo ambaoMungu ameutoa kwa habari yakemwenyewe. 1. Tuna nafasi na fursa sawa. 2. Uumbaji mtukufu wa Mungu upo kwa ajili yetu sote. B. Ukweli kuhusu Mungu unapatikana nje ya ufunuo maalum (Erickson, uk. 41). 1. Ukweli huu unajitegemea. 2. Ukweli huu ni nyongeza kwa ufunuo maalum kutoka kwa Mungu, sio mbadala wake. C. Ufunuo wa jumla unaondoa madai ya kutokuwa na hatia kwa yeyote anayekataa kumtafuta Mungu. 1. Nguvu na Uungu wa Mungu vinajulikana kwa wote. 2. Kuukandamiza kwetu ukweli huo kunatufanya sote kukabiliwa na hukumu. D. Uhalisia wa dini katika maisha ya mwanadamu unatokana na ufunuo wa jumla. 1. Kila jamii ya wanadamu ina ufahamu wa Mungu. 2. Msukumowakidini ni jaribio lakutafsiri ufahamuwetuuliokandamizwa na usiowazi kuhusu Mungu kupitia ufunuo wa jumla.

III. Matokeo ya Ufunuo wa Jumla

Made with FlippingBook - Online catalogs