Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide

/ 2 3 9

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

Wewe uliye Mwenyezi, sasa tawala katika kila moyo, Na usituondokee, Roho wa nguvu!

Kwako, Mkuu Moja katika Utatu, Sifa za milele ziwe, sasa na hata milele. Enzi yako kuu, na tuione katika utukufu, Na milele tukupende na kukuhimidi!

Unaweza kuwatia moyo wanafunzi wenye uwezo wa kuandika nyimbo kufikiria kuandika nyimbo mpya zinazofuata mfumo huu wa Utatu.

Maswali haya yametungwa ili kuhakikisha wanafunzi wanaelewa malengo na kweli za msingi zilizowasilishwa katika sehemu ya kwanza ya video. Utatakiwa kupima muda wako vizuri, hususani kama wanafunzi wamevutiwa sana na dhana zilizowasilishwa na wanataka kujadili maana zake kwa marefu. Ruhusu muda ufaao wa kujikita katika hoja kuu, na bado uwe na muda wa kutosha wa mapumziko kabla ya sehemu inayofuata ya video kuanza. Maandiko hayaonyeshi waziwazi kila mara endapo kinachoongelewa katika mstari fulani ni upepo, pumzi, roho ya mwanadamu, roho ambayo ni malaika au roho ambayo ni pepo mchafu au Roho wa Mungu. Ndio maana wakati fulani tunapolinganisha tafsiri kadhaa za Biblia utaona kwamba moja inatafsiri neno hilo kama pumzi na nyingine inatafsiri kama Roho, au tafsiri moja inaweka herufi ya kwanza kuwa katika Herufi kubwa “Roho” kwa sababu inadhaniwa kwamba ni Roho wa Mungu anayezungumziwa hapo, wakati tafsiri nyingine haiweki herufi kubwa mwanzoni kwa kuwa inadhaniwa kuwa ni roho ya mwanadamu inayozungumziwa hapo. Linganisha Maandiko haya: • Zek. 12:10 Katika matoleo ya Maandiko ya Swahili Union Version na Swahili Roehl Bible SRB37 [Kama ilivyo katika matoleo ya Kiingereza ya King

 21 Ukurasa 33 Maswali kwa Wanafunzi na Majibu

 22 Ukurasa 35 Kipengele II-B-1

Made with FlippingBook - Share PDF online