Mungu Roho Mtakatifu, Mwongozo wa Mkufunzi, Capstone Module 14, Swahili Mentor Guide

2 6 8 /

M U N G U R O H O M T A K A T I F U

katika sura ya 13, anaonyesha kwamba kiroho cha kweli hakipimwi kwa aina ya karama tulizo nazo bali kinapimwa kwa kiasi cha upendo tulio nao. Anasema kwa ufasaha mkubwa: “Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao. 2 Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, mimi si kitu.” (1 Kor. 13:1-2). Maswali haya yametengenezwa ili kuweka msisitizo katika hoja kuu zinazohusiana na sehemu ya kwanza ya Video. Kumbuka ushauri mzuri uliotolewa hapo kabla, na jikite katika kuona namna ambavyo maswali mbalimbali yanatusaidia kuelewa huduma ya Roho Mtakatifu katika kutoa karama kwa Kanisa kwa ajili ya utume na kulijaza (na kumjaza kila mwamini) na uwepo wa Mungu. ~ John Miley. Systematic Theology, Toleo la II. Kupitia neema ya utakaso tabia ya kimaadili inabadilishwa hatua kwa hatua ili mtu apende mema kwa hiari na kupinga uovu. ~ Thomas C. Oden. Life in the Spirit. Utakaso ni mchakato ambao kwa huo mtu aliyezaliwa mara ya pili taratibu anapokea ukamilifu wa kimaadili na kiroho kupitia uwepo na nguvu za Roho Mtakatifu anayekaa katika moyo wake. Mchakato huo unaendelea katika maisha yote ya hapa duniani, na kila hatua inakamilishwa na matumizi ya zana zote za neema, na hasa kwa njia ya Neno la Mungu. ~ Southern Baptist Convention, 1925. Creeds of the Church. John Leith, ed. Ufafanuzi wa Utakaso: Utakatifu [unaoletwa] ndani yetu kwa kazi ya neema ya Mungu.

 8 Ukurasa 132 Maswali kwa Wanafunzi na Majibu

 9 Ukurasa 135 Kipengele I-A-3

Tunaweza kuzungumza juu ya kufanana na Kristo kama uhalisia wa ndani na wa nje katika maisha ya Mkristo. Kufanana na Kristo kwa nje kunaonekana katika kumfuata Kristo kwa kushikamana na mafundisho na kielelezo chake. Kwa ndani,

 10 Ukurasa 137 Kipengele I-B-2-b

Made with FlippingBook - Share PDF online