Theology of the Church, Swahili Mentor Guide

1 2 8 /

THEOLOJIA YA KANISA

2. Kanisa linapaswa kudumisha ushuhuda wa kuaminika mbele ya watu wa nje: waamini wanaitwa kuishi kulingana na kanuni na viwango vya Ufalme wa Mungu.

a. Mt. 5:14-16

b. 1 Kor. 5:9-13

3. Utaratibu sahihi wa nidhamu unahusu utawala halali na sahihi wa Kanisa. Mungu ameagiza kwamba viongozi wachamungu wawe waangalizi wa mambo ya kanisa, na kutoa mafundisho, matunzo, na malezi kwa kusanyiko.

a. Ebr. 13:17

b. 1 Thes. 5:12-13

4

4. Vipi kuhusu kushughulika na uzushi, uasherati, na mifarakano katika Kanisa? Haya yanapaswa kushughulikiwa kwa umakini na kwa kufuata maagizo ya Biblia katika kusanyiko.

a. 1 Kor. 5

Sifa za Kanisa kwa mujibu wa Wana Matengenezo ya Kanisa zinasimamia Maandiko: Kanisa la kweli lipo mahali ambapo Neno linahubiriwa ipasavyo, sakramenti zinatolewa ipasavyo, na ambapo nidhamu imepangiliwa ipasavyo.

b. 1 Yohana 2:19

c. Mt. 18

d. Gal. 6:1-3

Made with FlippingBook - Share PDF online