Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

Viambatisho

135

Ndoa na Familia

Kuingizwa ndani ya kanisa:- katekisimu na ubatizo

Juhudi ya ushiriki katika kanisa la mahali pamoja

Urafiki wa kiungu na mahusiano Kutumia vipawa vya kiroho katika kuhudumia mwili wa Kristo

Mtiifu kwa Mchungaji na wazee wenye mamlaka

aliyenituma. (Luka 10.16) Ushirika na Mungu Ushikilishaji wa neno Kuabudu na kusifu Utakatifu binafsi

Desturi ya maadili ya pamoja Kujazwa, kutembea ndani ya na kuongozwa na Roho Makatifu

Zaka na matoleo:- Uwakili wa kifedha

Awasikilizaye ninyi, anisikiliza mimi, naye awakataaye ninyi, anikataa mimi; naye anikataaye mimi amkataa yeye

Njaa kwa neno la Mungu Kuelewa kwa mafundisho ya Yesu Kristo Theologia simulizi ya ufalme Imani ya Nikea:- mapokeo ya mitume Likisimikwa katika msingi wa imani Shirikisha neno la kweli vizuri

kushiriki pamoja Kanisa, ndoa na familia

Maisha ya

Mwenendo wa nidhamu

Matendo 2.42-47

1 Tim 4.7-16

Malezi ya kiroho

Kuamini

msimamo

Kutetea imani ya Mitume

Kol 2.6-10 Efe 6.10-18

Mungu

Luc 10.16

1 Kor 2.9-16

Le Zèle pour

Kutazama kila kitu kupitia hadithi ya

Maono mapinduzi

représenter Christ et Son Royaume

Roho ya kupigana Vita vya kiroho

kanisa

2 Tim 2.1-2

Hamu ya kuzidisha Kueneza injili na kuwafanya

wanafunzi kupitia

Uvunjifu na mazingira ya hatari

na wito

Ushuhuda

1 Pet 3.15-16

Ubalozi:- Ajenti wa ufalme wa Mungu

maombezi

unaokulazimisha

Maisha ya hadhara

Unyonge, unyenyekevu mbele ya Mungu Kuiga mtindo wa maisha ya Yesu mtumishi

Toba na imani kwa kuongolewa katika Kristo.

katika kanisa

Kutambua njama za adui

Ujasiri kushiriki katika vita

Kuvaa silaha zote za Mungu

ya “Pamoja naye”

Ukipata ushindi katika sala na

ubatizo na katekisimu.

Uongozi kama uwakilishi Kuzidisha wafanya kazi

Kuwa na silaha ya akili ya kuteseka Utambulisho kama askari wa Kristo

kazini na ujirani

Kutoa kwa huduma na utume

ulimwengu kwa jumla.

miongoni mwa walio nje

Kuishi maisha ya kushuhudia

Kuwashirikisha Habari njema waliopotea

Raia anayewajibika kwa nchi na

Kuhifadhi matunda kwa kuwaingiza katika

Ukitenda haki na upendo wa rehema katika mzungukuko wa maisha ya mtu.

Kuwapenyeza wa nyumbani mwetu kwa Kristo Ukitumia kipawa chako cha kiroho kwa uinjilisti

Kudumisha imara sifa za kumcha Mungu Uwe na ushuhuda muhimu nyumbani,

Uwekezaji wa maisha juu ya maisha kwa kanuni

Kiambatisho cha 21 Kufaa kwa ajili ya Kuwakilisha: Kuzidisha Wanafunzi wa Ufalme wa Mungu Mch. Dkt. Don L. Davis

Made with FlippingBook Digital Publishing Software