Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
136
Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa
Kiambatisho cha 22 Kuwafunza Viongozi katika Tamaduni mbalimbali za Upandaji wa Makansa mjini Kutoka Wito hadi Jumuiya Rev. Dr. Don L. Davis
Commission
Character
Competence
Community
Huitikia uwezo wa Roho kwa ubora katika kutekeleza kazi na huduma aliyoteuliwa kuifanya
Anatambua wito wa Mungu na anaitikia kwa utiifu wa haraka kwa ubwana na uongozi wake. 2 Tim. 1:6-14; 1 Tim. 4:14; Acts 1.8; Mt. 28:18-20 Mamlaka ya Mungu: Kiongozi wa Mungu hutenda kulingana na wito na mamlaka ya Mungu inayotambulika, inayokubaliwa na watakatifu na viongozi wa Mungu.
Anakutazama kuzalisha wanafunzi katika mwili wa Kristo kama jukumu la msingi la huduma
Huakisi tabia ya Kristo katika imani yake binafsi, mwenendo, na mtindo wa maisha Yn. 15:4-5; 2 Tim. 2:2; 1 Kor. 4:2; Gal. 5:16-23 Unyenyekevu wa Kristo: Kiongozi wa Mungu anadhihirisha ufahamu na mtindo wa maisha wa Kristo katika matendo na mahusiano yake. Shauku ya kufanana na Kristo Mtindo imara wa maisha kwa ajili ya Ufalme Kutafuta kwa dhati utakatifu Nidhamu katika maisha binafsi Hutimiza wajibu mahusiano -mtumwa wa Yesu Kristo Hutoa kielelezo cha kuvutia kwa wengine katika mwenendo wake, usemi, na mtindo wa maisha (tunda la Roho) Huweka mbadala wa shughuli za huduma na/ au bidii na tasnia badala ya utauwa na kufanana na Kristo Kaa ndani ya Kristo Nidhamu kwa utauwa Tafuta utakatifu katika yote
Ufafanuzi
Maandiko Muhimu
2 Tim. 2:15; 3:16-17; Rum. 15:14; 1 Kor. 12
Efe. 4:9-15; 1 Kor. 12:1-27
Ukuaji wa Kanisa: Kiongozi wa Mungu hutumia rasilimali zake zote kuuandaa na kuwezesha mwili wa Kristo kwa lengo na kazi yake. Upendo wa kweli kwa watu wa Mungu na shauku ya kuwatumikia Huwafunza watu binafsi waaminifu Huwezesha ukuaji katika vikundi vidogo Huchunga na kuwaandaa waumini katika kusanyiko Hukuza ushirika na mahusiano miongoni mwa Wakristo na makanisa Huendeleza harakati mpya baina ya watu wa Mungu mahali pamoja Huinua kazi na shughuli juu ya kuwaandaa watakatifu na kuendeleza jumuiya ya Kikristo
Nguvu ya Roho: Kiongozi wa Mungu anafanya kazi katika karama na upako wa Roho Mtakatifu
Dhana Muhimu
Upaji na karama kutoka kwa Roho Mafundisho sahihi kutoka kwa mlezi hodari Ustadi katika nidhamu za kiroho Uwezo katika Neno Uwezo katika Uinjilisti, kufuatilia, na kuwafunza waongofu wapya Mkakati katika matumizi ya rasilimali na watu ili kukamilisha kazi ya Mungu Hufanya kazi kwa msingi wa karama za asili na werevu wa kibinafsi badala ya uongozi na karama za Roho
Ushuhuda halisi mbele za Mungu na wengine Hisia ya kina ya usadiki kibinafsi unaotegemea Maandiko Mzigo wa kibinafsi kwa kazi fulani au watu Uthibitisho wa viongozi na ushirika
Vipengele vya Msingi Wito wa wazi kutoka kwa Mungu
Hufanya kazi kwa msingi wa haiba au cheo badala ya wito uliowekwa na Mungu na mamlaka endelevu
Mkakati wa Kishetani wa Kukomesha
Thamini Kanisa la Mungu Jifunze miktadha ya uongozi Fanya uandaaji kwa umakini
Tambua wito wa Mungu Gundua mzigo wako Thibitishwa na viongozi
Tambua karama za Roho Pata mafunzo bora Boresha utendaji wako
Hatua Muhimu
Kielelezo chenye nguvu cha kumfanania Kristo kinachotolewa kwa wengine wafuate
Utendaji kazi wa Roho Mtakatifu katika namna mbalimbali
Ujasiri wa kina kwa Mungu unaotokana na wito wa Mungu
Kuzidisha wanafunzi katika Kanisa
Matokeo
Made with FlippingBook Digital Publishing Software