Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
Viambatisho
137
Kiambatisho cha 23 Kulea Uongozi wa Kikristo Mch. Dkt. Don L. Davis
Mlima Upande Mmoja
Mlima Upande-Mwingine
Daima kuahirisha mgawanyo wa majukumu kwa wazawa
Kuweka mikono kwa haraka
Kupuuza utamaduni katika mafunzo ya uongozi
Kuinua utamaduni juu ya ukweli
Kudhani kuwa fundisho na theolojia ni vigezo tu
Kushusha fundisho na theolojia
Kuangazia ujuzi na karama kuliko upatikanaji na tabia
Kufanya upatikanaji na tabia viwe mbadala wa karama halisi
Kusisitiza uwezo wa kiutawala kuliko ari ya kiroho
Kupuuza jukumu la utawala katika umuhimu hali ya kiroho na nguvu
Kulinganisha utayari na ukamilifu wa Kikristo
Kupuuza umuhimu wa viwango vya kibiblia
Kuzuia wanaotaka kuwa viongozi kwa kigezo cha jinsia na kabila
Kuweka nafasi za uongozi kwa kuzingatia jinsia na kabila
Kuona hakuna mtu anayestahili kuongoza
Kuona kila mtu kama kiongozi
Made with FlippingBook Digital Publishing Software