Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

Viambatisho

139

Kiambatisho cha 25 Karama za Kiroho Zilizotajwa Kimaalum katika Agano Jipya Mch. Terry G. Cornett

Utawala

1 Kor. 12:28 Uwezo wa kuleta utaratibu katika uhai wa Kanisa.

Uwezo wa kuanzisha makanisa mapya kati ya wale ambao hawajafikiwa, kuwalea hadi kukomaa, na kutumia mamlaka na hekima muhimu ili kuyaona yakiimarika na kuweza kuzaana tena; na/au Karama ya kipekee inayopatikana katika enzi ya Kanisa ambayo ilijumuisha upokeaji wa ufunuo maalum na mamlaka ya kipekee ya uongozi. Uwezo wa kukataa ndoa, huku ukiendelea kuwa safi kingono, ili mtu kujitoa kabisa kifikira katika kumtumikia Mungu na Kanisa lake. Uwezo wa kutumikia Kanisa kupitia uwezo uliopewa na Roho wa kutofautisha kati ya kweli ya Mungu (uwepo wake, kazi yake, na mafundisho yake) na makosa ya kimwili au mambo bandia ya kishetani.

1 Kor. 12:28; Efe. 4:11

Utume

Useja

1 Kor. 7:7

Upambanuzi

1 Kor. 12:10

Shauku na uwezo wa kutangaza Injili kwa ufanisi ili watu waielewe

Uinjilisti

Efe. 4:11

Uwezo wa kutia moyo au kukemea ambao huwasaidia wengine kumtii Kristo

Uhimizaji

Rum. 12:8

Uwezo wa kulijenga Kanisa kupitia uwezo wa kipekee wa kuona makusudi ya Mungu ambayo bado hayajatimizwa na kumwamini Mungu bila kuyumba kwamba atayatimiza.

Imani

1 Kor. 12:9

Uwezo wa kujenga kanisa kupitia kufurahia upaji thabiti, wa ukarimu wa rasilimali za kiroho na kimwili

Utoaji

Rum. 12:8

1 Kor. 12:9; 12:28

Uwezo wa kutumia imani ambayo hupelekea kuwarejesha watu kwenye afya ya kimwili, ya kihisia-moyo, na ya kiroho

Uponyaji

Uwezo wa kueleza maana ya tamko la msisimko ili Kanisa liweze kujengwa

Utafsiri

1 Kor. 12:10

Uwezo wa kuelewa ukweli wa Maandiko, kupitia nuru ya Roho Mtakatifu, na kuizungumza ili kuujenga mwili; na/au Ufunuo usio wa kawaida wa kuwepo, au asili, ya mtu au kitu ambacho hakingejulikana kwa njia za asili.

Maarifa

1 Kor. 12:8

Made with FlippingBook Digital Publishing Software