Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
Viambatisho
155
Mazingira magumu ya watoto, shinikizo la ndoa na familia,
kupoteza uchumba na mapenzi
Kukataliwa, kuteswa, na kutengwa isvyo haki
Mashambulizi ya kiroho, ukatili, upinzani kutoka kwa maadui wa Bwana
Gharama
za Kulipwa
Ugonjwa, maumivu,
ugonjwa, na uchovu
“Unaweza kunilipa sasa, ama baadaye.”
Upweke, kutokuwa na urafiki, kuachwa, mateso ya kimwili na maumivu
Uchovu, kukata tamaa, dhiki, shinikizo la kisaikolojia
na huduma
Upotevu wa nyenzo,
umaskini, mahitaji ya
kifedha uhaba wa bidhaa
Kiambatisho cha 36
Gharama ya Ufuasi Mch. Dkt. Don L. Davis
Made with FlippingBook Digital Publishing Software