Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
40
Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa
3. Wito wa utakatifu (kwa kusanyiko na kiongozi) ni hakikisho la upaji wa Mungu wa kwa ajili ya kutekeleza kazi hiyo (Flp. 2:13-14).
a. Watu wa Mungu wameitwa katika utakatifu,1 Pet. 1.
b. Viongozi wa Mungu huchaguliwa rasmi na kutengwa ili kuwaandaa watu wa Mungu.
(1) 1 Kor. 12:27-31 – Basi ninyi mmekuwa mwili wa Kristo, na viungo kila kimoja peke yake. 28 Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miujiza, kisha karama za kuponya wagonjwa, na masaidiano, na maongozi, na aina za lugha. 29 Je! Wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni waalimu? Wote wanatenda miujiza? 30 Wote wana karama za kuponya wagonjwa? Wote wanena kwa lugha? Wote wafasiri? 31 Takeni sana karama zilizo kuu. Hata hivyo nawaonyesha njia iliyo bora. (2) Efe. 4:11-12 – Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; 12 kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa Kristo ujengwe;
Dhana Potofu kuhusu Kupokea Wito Maalum wa Huduma (tazama jedwali hapa chini)
Kwa sababu karama za Mungu hazina majuto, wala mwito wake.
~ Warumi 11:29
Made with FlippingBook Digital Publishing Software