Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
Kipindi cha 3 : Wito wa Utakatifu
41
Dhana Potofu Iliyoenea
Kanusho la Kibiblia
Mungu huwaita wanaume tu wamtumikie
Euodia na Sintike, watenda kazi pamoja na Paulo (Flp. 4:2)
Watu wanaoitwa si watu wa kawaida kiroho
Hakuna aliye na uwezo ndani yake mwenyewe (2 Kor. 3:4-5)
Hitaji kuu ni mtu kuwa na haiba fulani ya uchangamfu
Mungu huchagua kwa msingi wa mapenzi yake, si haiba (2 Kor. 10:7). Baadhi humwagilia na kupanda, lakini Mungu ndiye anayekuza (1Kor. 3:6) Watu wasio na elimu wanaweza kupokea wito wa kitume (Mdo. 4:13)
Watu walioitwa wanawajibika kwa habari ya matunda
Elimu rasmi, iliyoidhinishwa na ya kitaaluma ni hitaji la lazima kwa wito maalum Ufasaha na uthabiti katika maneno ni muhimu kwa wito maalum Udhaifu endelevu unakukosesha sifa moja kwa moja
Nguvu za Mungu hushinda usemi mzuri (1 Kor. 2:1-5)
Wito wa Mungu, Warumi 11:29
Nguvu ya Kristo inakamilishwa katika udhaifu (2 Kor. 12:9-10)
Mungu wa nafasi ya pili (na ya ishirini na mbili) (Mdo. 15:35-40 pamoja na 2 Tim. 4:11)
Ukianguka tu, umetengwa milele
II. Kuitikia Wito
A. Matokeo yake kwa huduma ya mjini
1. Wewe si mali yako tena; Mungu ndiye Mmiliki wako na Msimamizi wako (utakatifu unahusu umiliki na kujitoa), Rum. 12:1-2 – Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana. 2 Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.
Made with FlippingBook Digital Publishing Software