Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

Kipindi cha 4 : Wito wa Uhuru

51

Gharama ya Uhuru kwa watenda kazi katika Kristo Kulinganisha miito na jeshi “rasmi” la Mungu na “maafisa” wake.

Waamini katika Jumuiya ya Kikristo

Watenda kazi Waliotengwa kwa ajili ya Huduma

Wanahesabiwa kuwa na akili katika Kristo

Wapumbavu kwa ajili ya Kristo

Hisia ya utoshelevu na ustawi

Ukosefu na uhaba halisi wa bidhaa na fedha

Hisia ya nguvu

Udhaifu na kuwa hatarini

Wanapokea malezi

Wanatoa malezi

Hutazamwa kama wenye sifa mbaya

Hutazamwa kwa heshima

Hutukanwa, huteswa, hukashifiwa

1 Wakorintho 4:8-13

Njaa na kiu, mavazi duni, husukwasukwa, mara nyingi hawana makazi, wanafanya kazi kwa mikono yao wenyewe.

Walengwa wa malezi na msaada

Kuwa kama takataka ya dunia, takataka ya vitu vyote

Uhuru Huzalisha Aina ya Ujasiri Ambao Kiongozi Anahitaji

Hebu tazama kauli hizi mbili tofauti: «Milango imefungwa kwa hofu ya Wayahudi (Yn. 20:19), na, «Basi walipoona ujasiri wa Petro na Yohana» (Mdo. 4:13). Kauli hizi zinaelezea wanafunzi wale wale, na upinzani uleule. Ni nini kilitokea kati ya kauli ya kwanza na ya pili? Tofauti ni Roho Mtakatifu. «Wote wakajazwa Roho Mtakatifu» (Mdo 2:4). Na Roho Mtakatifu anapopewa udhibiti wa nafsi hatoi “roho ya woga, bali roho ya nguvu” (2 Tim. 1:7).

~ J. Oswald Sanders. Spiritual Leadership . Toleo la 2. Chicago: Moody Press, 1994. uk. 60.

Basi Bwana ndiye Roho; walakini alipo Roho wa Bwana, hapo ndipo penye uhuru.

~ 2 Wakorintho 3:17

Made with FlippingBook Digital Publishing Software