Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
Kipindi cha 4 : Wito wa Uhuru
53
Wito wa uhuru ni wito wa kuwa mambo yote kwa watu wote ili tupate kuwaokoa baadhi yao kwa kuwashirikisha Habari Njema. 1 Kor. 9:19-23 Maana, ingawa nimekuwa huru kwa watu wote, nalijifanya mtumwa wa wote, ili nipate watu wengi zaidi. 20 Nalikuwa kama Myahudi kwa Wayahudi, ili niwapate Wayahudi; kwa wale walio chini ya sheria, nalikuwa kama chini ya sheria, (ingawa mimi mwenyewe si chini ya sheria), ili niwapate walio chini ya sheria. 21 Kwa wale wasio na sheria nalikuwa kama sina sheria, (si kwamba sina sheria mbele za Mungu, bali mwenye sheria mbele za Kristo), ili niwapate hao wasio na sheria. 22 Kwa wanyonge nalikuwa mnyonge, ili niwapate wanyonge. Nimekuwa hali zote kwa watu wote, ili kwa njia zote nipate kuwaokoa watu. 23 Nami nafanya mambo yote kwa ajili ya Injili ili kuishiriki pamoja na wengine.
tu wapumbavu kwa ajili ya Kristo, lakini ninyi ni wenye akili katika Kristo; sisi tu dhaifu, lakini ninyi mna nguvu; ninyi mna utukufu, lakini sisi hatupati heshima. 11 Hata saa hii ya sasa, tuna njaa na kiu, tu uchi, twapigwa ngumi, tena hatuna makao; 12 kisha twataabika tukifanya kazi kwa mikono yetu wenyewe. Tukitukanwa twabariki, tukiudhiwa twastahimili; 13 tukisingiziwa twasihi; tumefanywa kama takataka za dunia, na tama ya vitu vyote hata sasa. 4. Kiwango hiki cha uhuru hupelekea katika uwezo mkubwa zaidi wa kuwa tayari kubadili uelekeo lakini pia huambatana na changamoto kubwa na mapambano, 2 Kor. 4:7-12 – Lakini tuna hazina hii katika vyombo vya udongo, ili adhama kuu ya uwezo iwe ya Mungu, wala si kutoka kwetu. 8 Pande zote twadhikika, bali hatusongwi; twaona shaka, bali hatukati tamaa; 9 twaudhiwa, bali hatuachwi; twatupwa chini, bali hatuangamizwi; 10 siku zote twachukua katika mwili kuuawa kwake Yesu, ili uzima wa Yesu nao udhihirishwe katika miili yetu. 11 Kwa maana sisi tulio hai, siku zote twatolewa tufe kwa ajili ya Yesu, ili uzima wa Yesu nao udhihirishwe katika
miili yetu ipatikanayo na mauti. 12 Basi hapo mauti hufanya kazi ndani yetu, bali uzima ndani yenu.
II. Kuitikia Wito
A. Matokeo yake katika huduma ya mjini
1. Wale wanaolihudumu Agano Jipya mjini lazima wauishi uhuru ambao Yesu ametushindia; wito wa wokovu na utakatifu wakati huo huo pia ni wito wa uhuru .
2. Huduma ya mijini inahusu ukombozi, badiliko, na uokoaji wa kukomesha utumwa na kuwaweka watu huru katika Kristo.
3. Tumewekwa huru si kama kibali cha kufanya dhambi, bali kumtumikia Mungu na kuwapenda wengine.
Made with FlippingBook Digital Publishing Software