Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
60
Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa
na Kristo. 13 Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi, au kwamba tu Wayunani; ikiwa tu watumwa au ikiwa tu huru; nasi sote tulinyweshwa Roho mmoja.
b. Mt. 28:10; Mk. 16:16
4. Kutekeleza jukumu langu katika mwili: karama za Roho
a. Rum. 12:3-6 – Kwa maana kwa neema niliyopewa namwambia kila mtu aliyeko kwenu asinie makuu kupita ilivyompasa kunia; bali awe na nia ya kiasi, kama Mungu alivyomgawia kila mtu kiasi cha imani. 4 Kwa kuwa kama vile katika mwili mmoja tuna viungo vingi, wala viungo vyote havitendi kazi moja; 5 Vivyo hivyo na sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo, na viungo, kila mmoja kwa mwenzake. 6 Basi kwa kuwa tuna karama zilizo mbalimbali, kwa kadiri ya neema mliyopewa; ikiwa unabii, tutoe unabii kwa kadiri ya imani;
b. 1 Pet. 4:10-11
c. Efe. 4:9-16
d. 1 Kor. 12:1-27
5. Je, lipi ni jukumu la mtu anapoingizwa na kupokelewa ndani ya ushirika? Kushiriki katika Mwili, utambulisho kama kiungo cha Mwili , na kujumuika katika ibada, ushirika , umisheni.
a. Mdo. 2:42-47
b. Yn. 13:34-35
Made with FlippingBook Digital Publishing Software