Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa

Kipindi cha 5 : Wito kwa Jumuiya

63

a. Hakuwezi kuwa na jumuiya bila ufuasi, Rum. 10:9-10.

b. Vivyo hivyo, hakuna uanafunzi pasipo utii , Rum. 14:7-9.

c. Hakuwezi kuwa na utii bila mamlaka halali, 2 Kor. 13:8-10 – Maana hatuwezi kutenda neno lo lote kinyume cha kweli, bali kwa ajili ya kweli. 9 Maana twafurahi, iwapo sisi tu dhaifu, nanyi mmekuwa hodari. Tena twaomba hili nalo, kutimilika kwenu. 10 Kwa sababu hiyo, naandika haya nisipokuwapo, ili, nikiwapo, nisiutumie ukali kwa kadiri ya uwezo ule niliopewa na Bwana, kwa kujenga wala si kwa kubomoa.

d. Kujitiisha kwa furaha chini ya mchakato ni ishara/ alama ya uthibitisho wa Mungu kwa uongozi wa mtu.

(1) Gal. 2:6-10

(2) 2 Tim. 2:2 – Na mambo yale uliyoyasikia kwangu mbele ya mashahidi wengi, hayo uwakabidhi watu waaminifu watakaofaa kuwafundisha na wengine. (3) 1 Kor. 9:17 – Maana nikiitenda kazi hii kwa hiari yangu nina thawabu; ila ikiwa si kwa hiari yangu, nimeaminiwa uwakili. (4) 2 Kor. 5:20 – Basi tu wajumbe kwa ajili ya Kristo, kana kwamba Mungu anasihi kwa vinywa vyetu; twawaomba ninyi kwa ajili ya Kristo mpatanishwe na Mungu. (5) Gal. 2:7 – Bali, kinyume cha hayo, walipoona ya kuwa nimekabidhiwa injili ya wasiotahiriwa, kama vile Petro ya waliotahiriwa.

Made with FlippingBook Digital Publishing Software