Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
74
Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa
c. Kujitwika nira yako mwenyewe: mzigo kwa ajili ya kumfanania Kristo ( sheria ya Kristo ) Gal. 6:2 – Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo.
(1) 2 Kor. 8:9
(2) Rum. 8:29
(3) Rum. 8:16
(4) Rum. 6:1-4
(5) Flp. 3:4-7
(6) Yn. 13:1-17
(7) Mt. 20:28
(8) 1 Pet. 2:21
(9) Ebr. 12:1-2
Wito wa kutumikia hautokani na sifa za nje za ubora, bali uhakika wa chaguo kuu la Mungu kwetu kutimiza kazi yake.
5. Kuenenda inavyostahili katika mtandao wako wa mahusiano: kudhihirisha Injili katika “eneo lako la ushawishi”, oikos Mt. 5:14-16 – Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima. 15 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani. 16 Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni
a. Jamaa zako
b. Familia yako ya kanisani
c. Marafiki zako
d. Majirani na washirika wako
Made with FlippingBook Digital Publishing Software