Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme wake kupitia Kanisa
Viambatisho
99
Imani ya Nikea Na Msaada wa Kibiblia, muendelezo
Imani ya Nikea na Msaada wa Kibiblia - Mistari ya Kukariri
Hapa chini kuna mistari ya kukariri iliyopendekezwa, kila mmoja kwa kila sehemu ya Imani.
Baba Ufunuo 4:11
Mwana Yohana 1:1
Utume wa Mwana 1 Wakorintho 15:3-5
Roho Mtakatifu Warumi 8:11
Kanisa 1 Petro 2:9
Tumaini Letu 1 Wathesalonike 4:16-17
Made with FlippingBook Digital Publishing Software